Bongofive's Instagram Audience Analytics and Demographics

@bongofive

Tanzania

Latest on Tanzanian Artists' News, Videos na mengine kibao.
inf▓▓▓▓▓@bongo5.com
+25▓▓▓▓▓31
Tanzania
25–34

Business Category

Publishers

Get Our Influencer Rate Card Today!

A brand new way for you to compare the rates of influencers across the world.

Learn More

PROFILE OVERVIEW OF BONGOFIVE

30.6% of bongofive's followers are female and 69.4% are male. Average engagement rate on the posts is around 0.09%. The average number of likes per post is 2011 and the average number of comments is 33.

Bongofive loves posting about Entertainment and Music, News, Soccer, Singer.

Check bongofive's audience demography. This analytics report shows bongofive's audience demographic percentage for key statistic like number of followers, average engagement rate, topic of interests, top-5 countries, core gender and so forth.

Followers
2,343,796
Avg Likes
2,011
Avg Comments
33
Posts
47,279

GENDER OF ENGAGERS FOR BONGOFIVE

Female
30.6 %
Male
69.4 %

AUDIENCE INTERESTS OF BONGOFIVE

  • Music 91.13 %
  • Entertainment 64.50 %
  • Business & Careers 40.45 %
  • Children & Family 38.35 %
  • Art & Design 35.54 %
  • Sports 34.07 %
  • Cars & Motorbikes 32.27 %
  • Movies and TV 31.13 %
  • Luxury Goods 29.96 %
  • Beauty & Fashion 29.62 %
  • Fitness & Yoga 29.57 %

MENTIONED HASHTAGS OF BONGOFIVE

RECENT POSTS

6,973 116

Watoa mikopo bila leseni, kupigwa faini ya Milioni 20/- Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kuwa mtu binafsi, taasisi au kampuni inayojishughulisha na utoaji wa mikopo bila kuwa na leseni itapigwa faini ya Sh. Milioni 20 au kifungo kisichopungua miaka miwili. Hayo yamebainishwa na Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ambapo amesema wamebaini kuwa kuna baadhi ya taasisi, kampuni na watu binafsi wanajihusisha na binafsi ya kutoa mikopo bila kuwa na leseni. Amesema jambo hilo ni kinyume na kifungu cha 16(1) cha Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018. "Kufuatia kifungu cha 16(2)(a) cha sheria ya Huduma Ndogo za Fedha ya mwaka 2018, hatia zitachukuliwa kwa ukiukaji wa sheria hiyo ni pamoja na faini isiyopungua Sh. Milioni 20 au kifungo kisichopungua miaka miwili," amesema Tutuba Aidha amesema BoT inawakumbusha watoa huduma ndogo za fedha waliokwisha kupata leseni kufuata sheria, kanuni na miongozo inayotolewa na benki hiyo ikiwemo kuwapa wakopaji mikataba, kuonesha riba ya mkopo kama ilivyopitishwa kwenye sera ya mikopo. Written by @janethjv255

3,306 54

Kupitia kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia juu ya Tamasha kubwa la kusaidia jamii linaloandaliwa kila mwaka na msanii wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba wakishirikiana na mchezaji wa mpira wa miguu wa klabu ya Fenerbahçe S.K akiwa kwa mkopo kwenye klabu ya Genk ya Ubelgiji. @el_mando_tz amezungumza namna Tamasha hili lilivyokubwa kwa Afrika Mashariki na hata Afrika nzima kwa sababu hakuna tamasha kama hili barani Afrika lilowaunganisha watu wanaofanya kazi mbili tofauti yaani Muziki na Mpira. Licha ya Tamsha hili kuwa kubwa kwa Afrika Mashariki likiwa ni msimu wa 6 sasa kuna nnamna Alikiba na Samata wanatakiwa kufanya ili liwe kubwa zaidi barani Afrika na hata duniani kutokana na ukubwa wa majina yao. @el_mando_tz anaongeza kuwa kwa namna Alikiba alivyo na marafiki wengi kwenye muziki ilitakiwa awashirikishe kwa namna kubwa sana ili liwe Tamasha la wasanii wote Tanzania na hata Afrika Mashariki. Kubwa zaidi Alikiba aliahidi kufannya show kwenye tamasha lao CHAMAZI, sio yeyetu bali watakuwepo wasanii wengi lakini cha kushangaza hakuna show yoyote iliyofanyika zaidi ya K2ga kuimba wimbo mmoja tu, hilo pia linahitaji marekebbisho. Lakini pia kwa upande wa Samatta kwa ukubwa wake ana marafiki wengi ambao ni wachezaji tena nje ya Tanzania, kuna namna alitakiwa kuwashirikisha ili kukuza Tamasha lao ambalo lipo msimu wa 6 sasa. Tunafahamu Alikiba ni msanii na ana marafiki wengi sana lakini cha kushangaza walishiriki wasanii kadhaa tu ambao ni Kings Music wote kasoro Tommy Flavour, Marioo, Maarifa, Tundaman na Meja Kunta wakalti ilitakiwa ishirikishe wasanii wengi sana. Hii yote ni kutokana na namna ya ushirikishwaji wa wasanii hao, hii yote ni  waandaaji yaani  Alikiba na Samatta walitakiwa kuwashirikisha wasanii kwa ukaribu sana ili kila mmoja atoe mchango wake hata kwennye kuchangia watoto. Msimu uliopita na msimu huu Harmonize alitangaza kushiriki lakini hakushiriki. Unakubaliana na @el_mando_tz au hukubaliani naye. Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive. Host: @el_mando_tz Editor: @sameeer2_

1,208 23

Kupitia kipindi cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumza juu ya uhamisho wa aliyekuwa Mtangazaji wa EFM Hamis Mandi alimaarufu kama B Dozen kurudi tena Clouds Fm. @el_mando_tz anaeleza kuwa kwa uapnde wa Burudani B Dozen ndio Mtangazaji mkubwa kuwahi kutokea Tanzania na ndio maana vijana wengi wakiingia kwenye Utangazaji lazima wapite njia za B Dozen. Mbali na hilo ameongeza kuwa kwa sababu kwa upande wa Watangazaji thamani imepanda sana na kuna namna vijana wanaofanya Utangazaji kuongheza ubbunifu ili kuweza kujiuza zaidi kwenye media mbalimbali. Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya YouTube ya Bongofive. Host: @el_mando_tz Editor: @sameeer2

42 3

Sehemu ya mabaki ya Submarine hiyo ya Titan imegunduliwa ndani ya eneo la utafutaji na roboti ya ROV karibu na mabaki ya meli ya Titanic, Walinzi wa Pwani wa Marekani wametangaza hivi punde. Wataalam kwasasa wanatathmini habari hiyo.  Taarifa kutoka kwa walinzi wa pwani inasema kwamba roboti aina ya ROV imepata mabaki katika sakafu ya bahari karibu na mabaki ya meli ya Titanic . Admirali John Mauger anayeongoza utafutaji huo pamoja na na kamanda Jamie Frederick wamezungumza katika kikao ma wanahabari. Maafisa wanasema vipande vitano vikubwa vilipatikana pamoja na mabaki karibu na meli ya Titanic. Miongoni mwao , ni pamoja na pua ya nyambizi hiyo.(muonekano wa mbele) Admiral Mauger anasema hawezi kuthibitisha kama Walinzi wa Pwani wa Marekani wataweza kuipata miili ya abiria watano waliokuwemo ndani ya nyambizi ndogo ya Titan. Ingawa bado wanaendelea kuyatafuta mabaki yote na kuona kama wataipata miili hiyo au laaah. Credit by @el_mando_tz

157 3

Diamond atatua na nani kwenye sherehe ya harusi ya Don Fumbwe na Juju ? Mwamba huyu hapa kisela zaidi! Rais wa WCB @diamondplatnumz bado anaishi na falsafa za Mwana FA ‘Bado Nipo Nipo Sana’ kwani waandishi wa habari walikuwa wanamsubiria kwa hamu atakuja na nani katika sherehe ya harusi ya mwanafamilia wa WCB @donfumbwe ambaye hivi karibuni ameitosa kambi ya ukapera baada ya kumuoa juju. CEO huyo wa WCB alitua katika ukumbi wa Mliamani City Dar Es Salaam akiwa peke yake huku kwa mbali akisindikizwa na mwanafamilia mwingine wa lebo hiyo @moseiyobo . Written by @yasiningitu

478 20

Taarifa ya muda huu inaeleza kuwa watu wote watano (5) waliokuwa kwenye meli ya chini ya maji (Monawari) iliyotoweka walipokuwa wakijaribu kutalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wamekufa. Taarifa kutoka kampuni ya OceanGate Inc. Inayomiliki kifaa hicho (Monawari) imesema kuwa “Sasa tunaamini kwamba Mkurugenzi Mtendaji wetu Stockton Rush, Shahzada Dawood na mwanawe Suleman Dawood, Hamish Harding, na Paul-Henri Nargeolet, wamepotea. Wanaume hawa walikuwa wagunduzi wa kweli ambao walishiriki ari tofauti ya matukio, na shauku kubwa ya kuchunguza na kufanya utalii wa bahari za dunia. Mioyo yetu iko pamoja na nafsi hizi tano na kila mwanafamilia katika kipindi hiki cha msiba. Tunasikitika kwa kuwapoteza wapendwa wetu. Tangazo hili la vifo vya watu hao watano linakuja saa chache baada baadhi ya sehemu za chombo hiko (Monawari) kuonekana karibu na mabaki ya Titanic siku ya Alhamisi, na wataalam haraka walifanya kazi ya kutathmini walichokipata ... huku rafiki wa watu 2 kati ya waliopotea akidai ilikuwa fremu ya kutua na kifuniko cha nyuma cha chombo. Credit by @el_mando_tz

1,571 23

Don Fumbwe na Juju katika usiku wao wa historia Mwanafamilia wa WCB @donfumbwe ambaye ni Mhasibu wa @diamondplatnumz akiingia kwenye ukumbi wa Mlimani City Dar Es Salaam akiwa na mke wake Juju. Wawili hao waliingia ukumbini hapo na wimbo wa @mzeeyussuf ambao ulikuwa ukiimbwa mubashara na mfalme huyo wa Taarab nchini Tanzania. Written by @yasiningitu

4,478 34

Wasafi hawana dogo sherehe ya Don Fumbwe na Juju Leo ni siku muhimu ya mmoja kati ya wanafamilia wa WCB @donfumbwe ambaye amefanya sherehe ya ndoa na mke wake Juju. Hawa ni team WCB wakifungua shughuli ambayo inafanyika hapa Mlimani City Dar Es Salaam. Written by @yasiningitu

1,902 16

…Unampa Maksi ngapi mpiga picha 🤪😂 Mshambuliaji hatari zaidi kwa sasa Afrika, Fiston Mayele akiwa na wakala wake Madam Jasmin. Pia ni wakala wa Mchezaji, Clement Mzize na wengine huko Ughaibuni. Jasmin pia amesimamia sakata la Feisal (Fei Toto) lakini pia kesi nzito ya Simon Msuva na waarabu. Imeandikwa na @fumo255

3,285 94

Tukio la wizi wa vifaa vya gari Aina ya IST limetokea maeneo ya Mapinga Bagamoyo majira ya usiku wa tar 19 kuamkia tar 20 mwezi huu wa sita 2023 ambapo wezi hao wameruka ukuta na kuiba betri ya gari, taa za mbele na nyuma, side mirrors, vipuri ya kwenye engine n.k... Mwenye taarifa kuhusu wahalifu, aitaarifu Mapinga Polisi kupitia namba +255 687 787 462. Credit by @el_mando_tz

2,778 34

Haya yalikuwa maandalizi tu ya kuelekea mechi ya kirafiki baina ya Team Clatous Chama dhidi ya team Rally Bwaliya huko Zambia🤪😂 Credit by @fumo255

938 20

…👀👀 Hadi Jonas Mkude.? Baada ya takribani miaka 13 akiitumikia Klabu ya Simba SC kwa mafanikio Makubwa hatimaye Kiungo wa timu hiyo Jonas Mkude amepewa neno moja la Thank You. ‘Nungunungu’ ni mchezaji mkongwe zaidi ya wote ndani ya timu hiyo yenye maskani yake mitaa ya Msimbazi na hivyo rasmi leo anahitimisha Ndoa yake na Simba. Mkude ametua Simba mwaka 2010 na kujiunga na kikosi cha U20. Miaka miwili (2) ya kwanza amechezea kikosi cha vijana na miaka 11 kwenye timu ya wakubwa na hivyo ukijumlisha unapata 13. Imeandikwa na @fumo255

* Copyright: Content creators are the default copyright owners. These Images are published on public domains and respective social media for public viewing.

PEOPLE ALSO VIEWED

155K
-
0.60 %
Tanzania Fashion and Accessories, Marketing and Advertising, Health and Medical Services
49.8K
-
0.03 %
Tanzania Home and Garden, Singer
69.2K
-
0.04 %
Tanzania Fashion and Accessories, Business and Finance, Events
6K
-
1.92 %
Tanzania
2.1K
-
0.24 %
Tanzania Product Education, Product Showcase
6.7K
34 / post
0.75 %
Tanzania Entertainment and Music, Humor, Health & Fitness, Celebrities, Film, Music & Books
28.2K
-
0.40 %
Tanzania Product Education, Product Showcase, Marketing and Advertising, Business and Finance, Modeling, Music
29K
-
0.04 %
Tanzania Home and Garden, Finance, Product Education, Health and Medical Services, Singer
26.6K
84 / post
0.01 %
Tanzania Home and Garden, Modeling, Fashion Design, Celebrities, Hair & Beauty
32.1K
-
0.13 %
Tanzania Home and Garden
65K
355 / post
0.27 %
Tanzania Arts and Crafts, Singer, Celebrities
15.6K
-
1.30 %
Tanzania Arts and Crafts, Education, Events, Painting, Visualizations
272.5K
-
0.09 %
Tanzania Entertainment and Music
47.1K
184 / post
0.08 %
Tanzania Fashion and Accessories, Modeling, Styling, Celebrities, Health & Fitness, Humor
8.6K
-
0.68 %
Tanzania Entertainment and Music, Music, News