OFISI YA RAIS TAMISEMI
https://www.tamisemi.go.tz/
-% of @ortamisemi's followers are female and -% are male. Average engagement rate on the posts is around 0.05%. The average number of likes per post is 331 and the average number of comments is 10.
@ortamisemi loves posting aboutEducation, Health and Medical Services.
720,448
Followers
0.05%
Engagement Rate
341
Engagement per post
331
Average likes per post
10
Average comments per post
286,689
Global Rank
-
Country Rank
-
Category Rank
Follower and Post Growth Trends
Engagement Rate Growth Trends
Audience Gender
Dominating Age Group
Interests
Mentions - hashtags
Engagement Rate
Likes and Comments
Notable Influencers
Audience Brand Affinity
Recent Posts
BARABARA ZA MJI WA MOMBO ZAENDELEA KUIMARISHWA KUPITIA TARURA OR- TAMISEMI Naibu Waziri TAMISEMI Mhe. Deo Ndejembi amesema katika mwaka wa fedha 2021/22, TARURA ilitenga jumla ya kiasi cha Shilingi Milioni 200 kwa ajili ya kuchonga na kuweka barabara kwa kiwango cha Changarawe yenye urefu wa kilomita 2.7, kujenga makalavati 9, mifereji yenye urefu wa kilomita 1.9 katika mji wa Mombo wilayani Korogwe mkoani Tanga. Ndejembi ameeleza hayo leo Juni 14, 2023 Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mheshimiwa Timotheo Paul Mzava Mbunge wa Jimbo la Korongwe vijijini aliyetaka kujua ni lini serikali itatekeleza ahadi zake za kujenga barabara za lami katika mji wa mombo. ‘‘katika mwaka wa fedha 2022/23 Serikali imetenga jumla ya shilingi milioni 400 kwaajili ya kurengeneza barabara yenye urefu wa kilometa 2.84 kwa kiwango cha changarawe ujenzi wa makalavati 23 na ujenzi wa mifereji urefu wa kilometa 2.46 na utekelezaji wa kazi hizi unaendelea na umefikia asilimia 56’’amesema Ndejembi. ‘Barabara za Mombo Mjini zitaanza kujengwa kwa kiwango cha lami mara baada ya kuziimarisha kwa kiwango cha changarawe na ujenzi wa mifereji kulingana na upatikanaji wa fedha’ aliongezea Ndejembi. Aidha, amesema Serikali itaendelea kuipa kipaumbele barabara hiyo na kuendelea kutekeleza ahadi hii lakini pia kutafuta fedha kwa mwaka wa fedha 2023/2024 unaoanza mwezi Julai. Mji Mdogo wa Mombo una barabara zenye urefu wa jumla ya kilomita 28.4. Kati ya hizo kilomita 0.45 ni tabaka la lami, changarawe kilomita 5 na udongo kilomita 22.95. TARURA imeendelea kutenga fedha za matengenezo ya sehemu korofi na matengenezo ya muda maalum kwa barabara za Mombo Mjini ili kuhakikisha barabara hizi zinapitika majira yote ya mwaka.
319
11
*UMITASHUMTA 2023 YAHITIMISHWA, MWANZA MABINGWA WA JUMLA KITAIFA Mashindano ya Umoja wa Michezo na Taaluma kwa Wanafunzi wa Shule za Msingi Tanzania (UMITASHUMTA) yaliyofanyika kitaifa Mkoani Tabora, yalihitimishwa rasmi tarehe 12 Juni 2023 kwenye viwanja vya Shule ya Sekondari Wavulana Tabora. Mashindano hayo yalizinduliwa rasmi Tarehe 06 Juni 2023 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango kwenye Uwanja wa Ally Hassan Mwimyi Mjini Tabora yakihusisha washiriki zaidi ya Elfu Tatu. UMITASHUMTA 2023 iliandaliwa na kusimamiwa na Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia pamoja na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, huku michezo mbalimbali ikishandaniwa katika viwanja tofauti vya Shule za Sekondari Wavulana na Wasichana Tabora vikitumika. Michezo hiyo ilijumuisha mpira wa Netibali, Mpira wa Wavu (wasichana na Wavulana), Mpira wa miguu kawaida (Wasichana na wavulana), Mpira wa miguu wavulana (Maalum) na Mpira wa mikono – Handball (kawaida). Vilevile ilihusisha Mchezo wa kuruka chini, Riadha (kwaida na maalum) Mpira wa Goli (Goal Ball) mahususi kwa wenye uono hafifu, Mpira wa kikapu (Wasichana na Wavulana) na Sanaa za michezo zilizojumuisha uimbaji, uchezaji wa ngoma za asili na Muziki wa Kizazi Kipya (Bongo Flavour). Baada ya mikoa mbalimbali kuchuana vikali katika michezo tofauti, hatimaye Mkoa wa Mwanza ulifanikiwa kuibuka mshindi wa matokeo ya jumla wa mashindano ya UMITASHUMTA ngazi ya taifa kwa mikoa yote 28 iliyoshiriki. Mwanza ilijikusanyia jumla ya alama 199, ikifuatiwa na Mkoa wa Dar es salaam ulioshika nafasi ya pili kwa kukusanya alama 132 na Shinyanga ikishika nafasi ya tatu kwa kufikisha alama 126. Mkoa wa Kilimanjaro ulifikisha alama 125 naTabora kushika nafasi ya 4, Kigoma nafasi ya 5 ikiwa na lama 123, Tabora nafasi ya 6 alama 123, Geita ikashika nafasi ya 7 kwa alama 118, mkoa wa Mara nafasi ya 8 alama 110, Singinda nafasi ya 9 alama 107 na Arusha ikahitimisha 10 bora kwa kujikusanyia alama 104. Mikoa mingine iliyofuatia ni Dodoma alama 102, Tanga alama 98.4, Mtwara alama 97.8, Manyara alama 97.2, Morogoro alama 92.6, Mbeya alama 89.2, Rukwa 88.
378
8
* Copyright: Content creators are the default copyright owners. These information including images, texts, videos, posts and profiles are published on public domains and respective social media for public viewing.
FAQ: Instagram Statistics and Insights for @ortamisemi
How can I access Instagram statistics and analytics for @ortamisemi?
StarNgage offers comprehensive analytical reports that provide key metrics and insights to give you a complete understanding of @ortamisemi. You can explore various aspects, including Instagram follower statistics, such as follower and post growth trends, Engagement Rate, and its growth trends. Additionally, you can access information on the average number of likes and comments per post, insights into your followers or audience demographics, brand affinity data, mentions of relevant hashtags, similar accounts, and the most recent posts.
What is the current follower count for @ortamisemi on Instagram?
As of the latest update, @ortamisemi has accumulated a dedicated following of 720,448 followers on Instagram.
What insights and analytics are included in the full report for @ortamisemi on Instagram?
Our full Instagram analytical report provides a comprehensive overview of @ortamisemi on Instagram. This report includes detailed information on follower growth over time, engagement metrics, and post frequency, both on a weekly and monthly basis. To access this in-depth report, kindly register and create a new StarNgage account or log in to your existing account.
Can I track how @ortamisemi Engagement Rate has evolved on Instagram?
Yes, StarNgage's analytics tools allow you to monitor the evolution of @ortamisemi Engagement Rate over time on Instagram. This data helps you assess the effectiveness of @ortamisemi engagement strategies.
How can understanding @ortamisemi audience's demographics on Instagram?
Gaining insights into @ortamisemi audience's demographics on Instagram can be immensely valuable. It enables you to tailor your influencer content and marketing strategies to better resonate with @ortamisemi followers, as you'll have information about their age, gender, location, and interests.
How can I leverage brand affinity data to improve my marketing strategy on Instagram with @ortamisemi?
Brand affinity data is a powerful tool to understand which brands or products your audience is most interested in. This information can guide your content collaborations and partnerships on Instagram, enhancing your engagement with your target audience.